Nitamwimbia Bwana,
Kwa kuwa yeye ameniona (repeat)
Ameniona (ameniona), ameniona (ameniona)
Ameniona (ameniona), ameniona (ameniona)
- Nitamrukia Bwana
- Nitamchezea Bwana
- Nitamsifu Bwana
- Nitamtangaza Bwana
- Nitabariki Bwana
Tembea na Yesu, Amen (x3)
Halleluya Amen
Anatupenda, Amen (x3)
Halleluya Amen
Ukiwa nyumbani, Amen (x3)
Halleluya, Amen
Anakujali, Amen (x3)
Halleluya, Amen
Bwana Yesu ndiye kimbilio langu
Shetani akimuona, anatetemeka (x2)
Chorus
Anatetemeka (x4)
- Bwana Yesu ndiye Alpha na Omega
- Bwana Yesu ndiye mlinzi wangu
- Bwana Yesu ndiye mfariji wangu
Halleluya, Halleluya Yesu
Yawangula sitani (repeat)
Kumusabba egologosa
Yesu Yawangula sitani
Ekanisa eyaffe bambi
Mulimu Yesu
Abasumba abaffe bambi
Balimu Yesu
Obulamu obwaffe bambi
Bulimu Yesu
Abayimbi bona bambi
Balimu Yesu
Nebwolaba nga tusanyuka
Kubanga tulimu Yesu
Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha
Chorus
Kwake Yesu na simama
Ndiye Mwamba ni salama (x3)
Njia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiye nanga
Damu yake na sadaka, natagemea daima
Yote chini yakiisha, mwokozi ataniosha
Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani
Nikivikwa taji yake, sina hofu mbele zake
Upendo wa Mungu Baba
Niwa, niwa ajabu
Waweza kwenda juu
Waweza kwanda chini
Waweza kwenda mbele
Waweza kwenda nyuma
Wupande wupande kwama taifa yote
Halleluya, kwa wazungu, kwa watoto,
Kwa wagonjwa –
Wupande wupande kwama taifa yote
Baraka za Mungu Baba
Niza, niza ajabu
Imani ya Mungu Baba ni ya ajabu
Uwezo wa Mungu Baba ni ya ajabu
Furaha ya Mungu Baba ni ya ajabu
Fadhili za Mungu Baba ni ya ajabu
Kangola ngai Yahwe (2x)
Bato nyoso mpe bamona nguya nayo (2x)
Pepele, pepele
Pepele, pepele
Ngai na bala Yesu, na motema na ngai
Na kopesa ye mikumba, na ngai nyoso
Pona tikala pepele, pepele
Ya ngai na Yesu, Pepele, pepele (x6)
Kangola ngai Nkolo ee
Eee Nkolo Yesu mosungi nangai Papa,
Kanola ngai nabika ee
Lola eee, lola (3x)
Esengo ezali na lola eee
Hakuna Mungu kama Wewe
Hakuna Mungu kama Wewe
Hakuna Mungu kama Wewe
Wewe Mungu wangu
- Tunasema Asante
- Tunasema Hosanna
- Wewe ni Alpha na Omega
- Wewe ni Mwanzo na mwiso
- Nasema asante
Yesu azali awa (x3) na biso (repeat)
(Yasolo)
Alleluya, Alleluya, Alleluya, na Yesu
(Yesu mwana N’zambe)
Alleluya, Alleluya, Alleluya, na Yesu
-Biso tokosepela, na Yesu
-Biso tokolingana, na Yesu
-Biso tokomonaye, na Lola
(Parapanda) Parapanda italia parapanda
(Parapanda) Parapanda italia parapanda
(Na wandugu) watakuwa wamekwisha nyakuliwa
(kwenda wapi) kumlaki Bwana Yesu mawinguni
(na wadada)
(na wazee)
(na watoto)
Natamba, natamba
Izya O’leebe, natamba
Yesu natanbira bona (x2)
Izya O’leebe, natamba
-Abasigazi nabatamba
-Abakaikuru nabatamba
-Ne sirimu akagitamba
-Abalwaire nabatamba
1. Iwi polo bot obanga jo muye bedo iye (x2)
2. Iwi polo bot obanga morokole bedo iye
3. Iwi polo bot obanga jo mungut bedo iye
Chorus
Tye iye lelo (lelo) iwi polo bot obanga
- Mara (mara)
- Lega (lega)
- Pako rwot (pako rwot)
- Kuc (kuc)